President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete bids farewell to his host FIFA president Joseph Sepp Blatter after visiting FIFA headquarters in Zurich, Switzerland at the invitation of Mr. Blatter
President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete with FIFA President Joseph Sepp Blatter at FIFA headquarters in Zurich.
FIFA president Joseph Sepp Blatter shows President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete various World trophies on display at FIFA headquarters in Zurich, Switzerland.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. kazi ipo, utadhani taifa stars nayo timu naona huyo president wa fifa anauliza kama nchi yetu kuna timu ha haaa... mkataa kwa si mtumwa. bongo polisi wanaua raia kwa vipigo.

    ReplyDelete
  2. Big up Tz and TFF president. You have shown the way

    ReplyDelete
  3. Muda wa Sepp Blatter umefika kwake kujiuzulu, kwani vitendo wanavyofanyiwa wachezaji weusi ulimwengu mzima ni vya aibu. Na sielewi kwa nini Raisi anajiusisha na huyo jamaa?!! Nadhani sasa ni muda wa Michel Platin kuwa mkuu wa FIFA kwani yeye anaelewa kukaa vizuri na watu weusi, ushaidi ukiwa alicheza miaka mingi na mchezaji hatari Tigana kwa kukaa kama marafiki na ndugu wa kweli. Blatter lazima aondoke kwani hata wazungu wenzake sasa wamemchoka kwa kukaa kimya kwenye sera za kibaguzi.

    ReplyDelete
  4. muheshimiwa wetu anajitahidi sana katika mchezo wa mpira wa miguu lakini hali ndio hivyo tena tutabakia kutembelea wajumba na viongozi wa mipira tu

    mheshimiwa kajitahidi kuhakikisha tunapata uwanja mkubwa na wa kisasa zaidi kajitahidi kutuletea timu mbali mbali

    katuletea makombe mengi yanayogombaniwa huko uingereza katuletea kombe la dunia

    katuletea timu ya brazil kucheza na taifa stars

    mungu mbariki kiongozi wetu mheshimiwa kikwete

    mungu ibariki tanzania na wajonge wake.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...