Video kwa hisani ya Vijimambo TV

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Naona kina mama wanasuuzika na Taarab na ndivyo inavyotakiwa kina baba kukaa pembeni.
    Mdau
    Wa-asili -wa Taarbu

    ReplyDelete
  2. Wabeba maboksi wanatabu yaani hizo dola zinashikwa mkononi kama vile wanataka kutunza kumbe wapi, thubutu.

    ReplyDelete
  3. Muwe mnarudi nyumbani angalau kuja kusalimia.

    Isiwe mmemtupa jongoo na mti wake, msije rudi mkakuta mashamba yenu ya Ukoo yameuzwa kwa Wazungu wawekezaji tena ajabu ukakuta ni Mzungu unayekaa naye hapo Mtaani kwako Ughaibuni!

    ReplyDelete
  4. vijimambo naomba namba ya dada mwenye nguo ya rangi ya ngozi ya chatu

    ReplyDelete
  5. sister mwenye ngozi ya chatu umetukoleza

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...