Video kwa hisani ya Vijimambo TV
Home
Unlabelled
wadau wakijirusha ughaibuni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Naona kina mama wanasuuzika na Taarab na ndivyo inavyotakiwa kina baba kukaa pembeni.
ReplyDeleteMdau
Wa-asili -wa Taarbu
Wabeba maboksi wanatabu yaani hizo dola zinashikwa mkononi kama vile wanataka kutunza kumbe wapi, thubutu.
ReplyDeleteMuwe mnarudi nyumbani angalau kuja kusalimia.
ReplyDeleteIsiwe mmemtupa jongoo na mti wake, msije rudi mkakuta mashamba yenu ya Ukoo yameuzwa kwa Wazungu wawekezaji tena ajabu ukakuta ni Mzungu unayekaa naye hapo Mtaani kwako Ughaibuni!
vijimambo naomba namba ya dada mwenye nguo ya rangi ya ngozi ya chatu
ReplyDeletesister mwenye ngozi ya chatu umetukoleza
ReplyDelete