Afisa Abbas Missana (kulia) akiomba Dua nyumbani kwa Balozi kumtakia Mhe. Balozi Mwanaidi Maajar na Mumewe safari njema ambao wameondoka leo asubuhi kuelekea Tanzania baada ya Mhe. Balozi kumaliza muda wake wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani. Balozi Maajar alikuja Marekani August 31, 2010 akitokea Uingereza alipokua kwa miaka mnne. kushoto kwenye picha ni Mgendi mfanyakazi Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani
Mhe. Balozi Mwanaidi Maajar na Mumewe Bwn. Shariff Maajar wakipata picha ya pamoja na Maafisa na wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani waliofika nyumbani kwake mapeno asubuhi ya Jumatatu Feb 18, 2013 kuwaaga na kuwasindikiza uwanja wa ndege wa kimataifa wa Dulles uliopo Sterling, Virginia.
Juu na chini Ni Mhe, Balozi na mumewe wakiingia kwenye gari tayari kwa safari ya uwanja wa ndege wa kimataifa wa Dulles.
Mhe. Balozi katika picha ya pamoja na maafisa na wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani waliofika uwanja wa ndege wa kimataifa kuwasindikiza yeye na mumewe (hayupo pichani) waliokua wanaondoka Jumatatu Feb 18, 2013 kurudi Tanzania baada ya Mhe. Balozi Mwanaidi Maajar kumaliza muda wake. Picha na Vijimambo.
Mama anakula bata tu.
ReplyDelete