Waziri Mkuu
Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa amekabidhi
pikipiki nne za miguu mitatu maarufu kama Bajaji ambazo ni maalum kwa
kubebea mizigo zenye thamani ya kiasi cha shilingi millioni 50,kwa
umoja wa vijana wilaya ya Monduli ili kuwasaidia vijana waliokuwa
wakikakabiliwa na tatizo la Ajira.Pichani ni Mh. Lowassa akikabidhi
funguo za pikipiki hizo kwa mmoja wa viongozi wa matawi ya vijana
wilayani hapo,ambao walifika nyumbani kwake Ngarash Monduli kwa ajili ya
kupokea pikipiki hizo.
Home
Unlabelled
Mh. Lowassa akabidhi pikipiki nne kwa vijana wa Monduli
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Ina Maana pikipiki moja inauzwa TZS 12.5m
ReplyDeleteMi nauliza hv,
ReplyDeletePikipiki 4 million 50 ina maana moja ni Mill 12.5?
Jamani tuoneeni huruma na sisi maana tunazidiwa na sisi!
Honda au Hondaa? anyway haina noma
ReplyDeleteHayo masifuri Mjomba Michuzi ni typing errors zako ama ndiyo Figure kamili?
ReplyDeleteTsh.50,000,000/= kwa PIKIPIKI GUTA 4 ?
Kwa bei hiyo si afadhali Mhe. EL anipatie hiyo Tsh.12.5 nikanunue Punda 4 (kwa Tsh.2 Mil) na akiba inayobaki niweke Benki?
ReplyDelete