Daraja hili la Mto Maragalasi au (KIKWETE BRIDGE) linalojengwa kwa msaada na serikali ya Korea Liliwekwa jiwe la msingi na Rais Jakaya Kikwete Mwaka 2011 na linatarajiwa kukamilika mwaka huu Hivyo ndivyo linavyoonekana mpaka jana wakati napita toka Tabora kwenda Kigoma kwa gari. Picha na Juma Kengele
Home
Unlabelled
taswira za daraja la malagarasi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Maji ya mto mbona siioni? au wamei-divert temporarily au mpaka masika?
ReplyDeleteAli..
KALE MAWESE UWEZE KULIONA
ReplyDelete