Daraja hili la Mto Maragalasi au (KIKWETE BRIDGE) linalojengwa kwa msaada na serikali ya Korea Liliwekwa jiwe la msingi na Rais Jakaya Kikwete Mwaka 2011  na linatarajiwa kukamilika mwaka huu Hivyo ndivyo linavyoonekana mpaka jana wakati napita toka Tabora kwenda Kigoma kwa gari. Picha na Juma Kengele


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Maji ya mto mbona siioni? au wamei-divert temporarily au mpaka masika?
    Ali..

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 16, 2013

    KALE MAWESE UWEZE KULIONA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...