Msanii wa kizazi kipya ajulikanaye kwa jina la Nasib Abdul (diamond Platinum) akiwapa burudani wa kazi wa jiji la Arusha katika shoo yake iliodhaminiwa na kituo cha radio 5 ndani ya  klabu ya safari iliopo ndani ya ukumbi wa jengo la sundown cornival lililopo nje kidogo ya jiji la Arusha

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Mbona kajikojolea....!
    taabu tupu

    ReplyDelete
  2. Mmh na wewe a cha ushamba, ajikojolee wapi na hiyo ni style ya trouser yake! Huoni mifuko ikoje? Wivu au?

    ReplyDelete
  3. jamaa anamadoido kama Freddy Mercury wa The Queens anaweza kuja kuwa maarufu ktk tasnia ya ulimwengu wa muziki wa kizazi kipya.

    ReplyDelete
  4. si mchezo kijana. kamua!!

    ReplyDelete
  5. hahahah

    mdau wa kwanza, inwezekana kwa wimbo wake diamond nataka kulewa labda ameuchapa mtindi kikweli kweli akalewa na akafikia kujikojolea!

    ReplyDelete
  6. Hizi style za kuvua nguo nazo!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...