Msanii wa kizazi kipya ajulikanaye kwa jina la Nasib Abdul (diamond Platinum) akiwapa burudani wa kazi wa jiji la Arusha katika shoo yake iliodhaminiwa na kituo cha radio 5 ndani ya klabu ya safari iliopo ndani ya ukumbi wa jengo la sundown cornival lililopo nje kidogo ya jiji la Arusha
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Mbona kajikojolea....!
ReplyDeletetaabu tupu
Mmh na wewe a cha ushamba, ajikojolee wapi na hiyo ni style ya trouser yake! Huoni mifuko ikoje? Wivu au?
ReplyDeletejamaa anamadoido kama Freddy Mercury wa The Queens anaweza kuja kuwa maarufu ktk tasnia ya ulimwengu wa muziki wa kizazi kipya.
ReplyDeletesi mchezo kijana. kamua!!
ReplyDeletehahahah
ReplyDeletemdau wa kwanza, inwezekana kwa wimbo wake diamond nataka kulewa labda ameuchapa mtindi kikweli kweli akalewa na akafikia kujikojolea!
Hizi style za kuvua nguo nazo!
ReplyDelete