Mwl. Salome Makanza wa Shule ya msingi Oysterbay akisoma risala kwa niaba ya Mwl. Mkuu Msaidizi Janeth Mdingi ambapo ameishukuru Hoteli ya DoubleTree by Hilton kwa kubuni kampeni kama hiyo ya kugawa taa zinazotumia Nishati ya Jua kwa Wanafunzi wa Darasa la Saba ambao wanakabiliwa na Mitihani kwani zitawasaidia hata Umeme utakapokatika majumbani mwao.
Mwl. Salome Makanza akikabidhi risala yake kwa Mgeni rasmi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Mh.Dkt. Terezya Huvisa. Kulia ni Mkurugenzi wa kanda wa Hoteli ya DoubleTree by Hilton Dar es Salaam Bw. Judd Lehmann. Kuhsoto ni Kushoto ni Afisa Elimu Msaidizi wa Wilaya ya Kinondoni Faustin Kikove na Mwl.Mkuu Msaidizi wa Shule ya Msingi Oysterbay Bi. Janeth Mdingi (wa pili kushoto).  Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hizo taa vibaka watakuja ziiba.

    ReplyDelete
  2. MNAWEKA TAA MJINI BADALA YA VIJIJINI ANGALIENI PANAFRICAN ENERGY WALIVYOWEKA SOLAR HUKU KILWA NA KUTULETEA PROGRAM YA KINGEREZA. KILWA WATOTO WANAONGEA KINGEREZA KUSHINDA WA DAR ES SALAAM.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...