Home
Unlabelled
KIJIWE CHA UGHAIBUNI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
nimependa sana hiki kipindi ila mtu mmoja anapoongea wapeane nafasi.ili kusiwe na kelele.halafu wanapo zungumza kuhusu nchi wazungumzie kwa ujumla.halafu wanapo toa mada za kuhusu mtanzania watofautishe mtanzania wa manzese uswahilini,buguruni,keko,ilala.halafu mbezi kimara mbezi beach,kunduchi,mikocheni.hizi sehem zote watu wanaishi kwa kutofautiana kipato.na malezi pia hayafanani.nimesema hivi sababu mada iliyopita walisema ukienda tanzania kila mtu anakuomba hela kuanzia babu mpaka mjukuu sikweli mimi nilipo toka usithubutu kusema umetoka ulaya utaibika bora ukae kimya.ni hayo tu watofautishe.
ReplyDeleteMimi wananifurahisha kwa kusema yale ambayo hapo awali yalikuwa hayasemwi kuhusu uhalisia wa maisha ughaibuni.
ReplyDeleteIla kama ni kweli wa TZ hamshirikiani,hilo nalo neno!