Mwenyekiti wa CCM Kata ya Jangwani Mohamed Bawazir (kulia) akipiga makofi  ya furaha wakati wa kumkaribisha Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa, Rameshi Patel  kufungua mkutano wao wa kwanza wa Halmashauri kuu ya kata hiyo Dar es salaam  tangia wachaguliwe kushoto ni Katibu Mwenezi wa CCM Wilaya ya Ilala Said Side.
Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa, Ramesh Patel katikati na kulia ni Mwenyekiti wa CCM Kata ya Jangwani Mohamed Bawazir pamoja na Diwani Bi Eshe Sururu na kushoto ni Katibu wa CCM kata hiyo Majala Balawa .
Baadhi ya wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM kata ya Jangwani wakipiga vigeregere na kumpongeza Mwenyekiti wao Mohamed Bawazir, Dar es salaam jana  wakati wa ufunguzi wa mkutano wa kwanza tangia wachaguliwe viongozi wa kata hiyo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. SASA HIYO JANGWANI ITULIE BASI MAANA NGUMI HAZIISHI ILA TUNA IMANI NA UONGOZI MPYA CHINI YA KIDUME CHA BOXING NA FOOTBALL.CCM OYEEE

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...