Kutoka shoto ni Evans Bukuku, Asia Idarous-Khamsin, Khamsin wa Fifte, Ankal, Nanihii, Mange na mdau katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam wakati wa Lady in Red 2013 fashion show 


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Ankali mambo gani sasa hayo si useme tu "usingizi wangu", nailii ndo nini ah. Na huyo mdau ni Diva m1 mstaarabu sana hana makuu kama sura yake inavyoonesha kwa jina ni Killy, mlimbwende wa long sana bongo

    ReplyDelete
  2. Adobe oyeee

    ReplyDelete
  3. nampenda mange!

    chaijaba

    ReplyDelete
  4. Kiki original desighner yupo wapi .Nampenda Kiki jamani au ndio anajiandaa na fashion week NY .I can't wait

    ReplyDelete
  5. Mbona huyu nanihii ni tofauti na yule nanihii mwingine uliyemuweka hapa jamvini miezi kadhaa iliyopita? au huyu ni nanihii mpya, wa pili? wa tatu? au wanne? au ni nanihii bustani? maana mwenye shamba lazima awe na bustani!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...