Unamkumbuka Yondo Sister???
Home
Unlabelled
Ngoma azipendazo ankal
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
ngoma hii imenikumbusha mbali sana nikiwa safarini kuelekea AR town good memory
ReplyDeleteDuhhh nakumbuka aina ya Magauni na Sketi ndefu zenye mpasuko pembeni zikawa ni Fasheni kwa akina dada zetu Bongo.
ReplyDeleteAmbapo Magauni na Sketi hizo ambazo yeye Yondo Sister alikuwa anazivaa awapo Stejini,
Ama kweli Jidada lilikuwa linacheza mangoma, linakatika na kuyarudi taratiiiibu bila pupa wala nini!
Wanasemaga mara zote KAKA MKUBWA kwa kweli Yondo Sister yeye tutamkumbuka kama DADA MKUBWA!!!
ReplyDeleteUzuri wa hii nyimbo (na nyenginezo za Kizarwaa) ni mabuno zaidi sijui kinachosemwa ni nini?
ReplyDeleteMliosoma Kiraeni tulichezaje huu mziki kwenye concert! Masista wakifunga macho yao kwa mshangao! Duuuu kazi kweli kweli!
ReplyDeleteAsante Bwama Michuzi kwa kibao hiki bila shaka kina kinalete kumbukumbu kwa watu mingi
Mame, mame, mame, mame, mame!
ReplyDeleteNi moja ya mbwe mbwe na vionjo vyake Yondo Sister akiimba