Unamkumbuka Yondo Sister???

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. ngoma hii imenikumbusha mbali sana nikiwa safarini kuelekea AR town good memory

    ReplyDelete
  2. Duhhh nakumbuka aina ya Magauni na Sketi ndefu zenye mpasuko pembeni zikawa ni Fasheni kwa akina dada zetu Bongo.

    Ambapo Magauni na Sketi hizo ambazo yeye Yondo Sister alikuwa anazivaa awapo Stejini,

    Ama kweli Jidada lilikuwa linacheza mangoma, linakatika na kuyarudi taratiiiibu bila pupa wala nini!

    ReplyDelete
  3. Wanasemaga mara zote KAKA MKUBWA kwa kweli Yondo Sister yeye tutamkumbuka kama DADA MKUBWA!!!

    ReplyDelete
  4. Uzuri wa hii nyimbo (na nyenginezo za Kizarwaa) ni mabuno zaidi sijui kinachosemwa ni nini?

    ReplyDelete
  5. Mliosoma Kiraeni tulichezaje huu mziki kwenye concert! Masista wakifunga macho yao kwa mshangao! Duuuu kazi kweli kweli!
    Asante Bwama Michuzi kwa kibao hiki bila shaka kina kinalete kumbukumbu kwa watu mingi

    ReplyDelete
  6. Mame, mame, mame, mame, mame!

    Ni moja ya mbwe mbwe na vionjo vyake Yondo Sister akiimba

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...