Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM},Rais Jakaya Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete leo wameongoza Matembezi ya Mshikamano yaliyoanzia kwenye eneo la Mnarani na kuishia kwenye ofisi za CCM mkoani Kigoma,asubuhi ya leo. Matembezi hayo hayo yamehudhuliwa na viongozi mbali mbali wa Chama cha Mapinduzi.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM},Rais Jakaya Kikwete akionekana kuwapungia wananchi wa Mkoa wa Kigoma waliokuwa wamejipanga kwa wingi pembezoni kwa barabara Lumumba/Ujiji asubuhi ya leo.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM},Rais Jakaya Kikwete akiongoza matembezi hayo.
Maandamano yakiendelea.
sasa wewe michuzi mchana wote huo flash ya nini?
ReplyDeleteIna maana mwanga haukutoshi kuchukua taswira murua au????
Mzozaji
Mambo ya digitali hayo kijana Mzozaji!
ReplyDeleteItakuwa imechukua kutokana na mawingu yalivyokuwepo!
hivi ccm iliundwa tarehe 3 febr au 5?
ReplyDeleteNaona siasa inanitupa pembeni.
Kwako: Mon Feb 04, 05:46:00 pm 2013
ReplyDeleteNeno maadhimisho linapotumika si lazima sherehe inayoadhimishwa iwe na asili katika tarehe ileile. Birthday part nyingi ama zinasogezwa nyuma ama kusogezwa mbele kwa tarehe na huko ndio kuadhimisha.
sesophy