Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM},Rais Jakaya Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete leo wameongoza Matembezi ya Mshikamano yaliyoanzia kwenye eneo la Mnarani na kuishia kwenye ofisi za CCM mkoani Kigoma,asubuhi ya leo. Matembezi hayo hayo yamehudhuliwa na viongozi mbali mbali wa Chama cha Mapinduzi.
 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM},Rais Jakaya Kikwete akionekana kuwapungia wananchi wa Mkoa wa Kigoma waliokuwa wamejipanga kwa wingi pembezoni kwa barabara Lumumba/Ujiji asubuhi ya leo.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM},Rais Jakaya Kikwete akiongoza matembezi hayo.
Maandamano yakiendelea.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. sasa wewe michuzi mchana wote huo flash ya nini?
    Ina maana mwanga haukutoshi kuchukua taswira murua au????
    Mzozaji

    ReplyDelete
  2. Mambo ya digitali hayo kijana Mzozaji!
    Itakuwa imechukua kutokana na mawingu yalivyokuwepo!

    ReplyDelete
  3. hivi ccm iliundwa tarehe 3 febr au 5?
    Naona siasa inanitupa pembeni.

    ReplyDelete
  4. Kwako: Mon Feb 04, 05:46:00 pm 2013
    Neno maadhimisho linapotumika si lazima sherehe inayoadhimishwa iwe na asili katika tarehe ileile. Birthday part nyingi ama zinasogezwa nyuma ama kusogezwa mbele kwa tarehe na huko ndio kuadhimisha.

    sesophy

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...