Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na ujumbe wa Benki ya Jamii ya Simiyu (Simiyu Community Bank) uliomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam
leo Februari 19, 2013 kumwelezea mipango ya kufungua benki hiyo itayoshirikisha jamii katika mkoa huo mpya na ya jirani katika azma ya kumkomboa mjasiriamali na mkulima
mdogo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na ujumbe wa Benki ya Jamii ya Simiyu (Simiyu Community Bank) uliomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam
leo Februari 19, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na na ujumbe wa Benki ya Jamii ya Simiyu (Simiyu Community Bank) uliomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam
leo Februari 19, 2013.PICHA NA IKULU
Wanawake wanawake! Mko wapi inapokuwa masuala ya rasilimali hasa pesa?
ReplyDeleteWanawake Jikoni na Saluni!!!
ReplyDeleteWanawake kazi kutegema mabwana, umbea, usengenyaji na majungu!
ReplyDeleteMpaka Vituo vya Redio vimepata mwelekeo wa Vipindi vya malumbano na majadiliano ya kike kike.
Wao wenyewe kwa wenyewe wanachukiana si tatizo hilo?
Mdau wa kwanza,
ReplyDeletePesa kwa wanawake?
Niliwahi kusikia jamaa mmoja amekuwa ktk Ushirikiano wa Kibiashara na wanawake mara kadhaa hivi.
Jamaa alisema, mara zote alipokuwa anashirikiana nao amekuwa akipata kipindi kigumu mfano wakati wa kuchanga pesa ili biashara ifanyike unakuta Mwanamke ameshatumia pesa zake Saluni au anamngoja Bwana wake ampe kwanza!
We mtoa maoni wa kwanza,
ReplyDeleteMwanamke si huyo yupo mwakilishi wao mmoja?
Wengine wapo Saluni wanasuka nywele zao!!!
Ni mwanzo mzuri kwa mkoa wetu mpya wa Simiyu.Simiyu mpya,mambo mapya.Hongereni kwa kuthubutu
ReplyDelete