Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na ujumbe wa Benki ya Jamii ya Simiyu (Simiyu Community Bank) uliomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo Februari 19, 2013 kumwelezea mipango ya kufungua benki hiyo itayoshirikisha jamii katika mkoa huo mpya na ya jirani katika azma ya kumkomboa mjasiriamali na mkulima mdogo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na ujumbe wa Benki ya Jamii ya Simiyu (Simiyu Community Bank) uliomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo Februari 19, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na na ujumbe wa Benki ya Jamii ya Simiyu (Simiyu Community Bank) uliomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo Februari 19, 2013.PICHA NA IKULU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Wanawake wanawake! Mko wapi inapokuwa masuala ya rasilimali hasa pesa?

    ReplyDelete
  2. Wanawake Jikoni na Saluni!!!

    ReplyDelete
  3. Wanawake kazi kutegema mabwana, umbea, usengenyaji na majungu!

    Mpaka Vituo vya Redio vimepata mwelekeo wa Vipindi vya malumbano na majadiliano ya kike kike.

    Wao wenyewe kwa wenyewe wanachukiana si tatizo hilo?

    ReplyDelete
  4. Mdau wa kwanza,

    Pesa kwa wanawake?

    Niliwahi kusikia jamaa mmoja amekuwa ktk Ushirikiano wa Kibiashara na wanawake mara kadhaa hivi.

    Jamaa alisema, mara zote alipokuwa anashirikiana nao amekuwa akipata kipindi kigumu mfano wakati wa kuchanga pesa ili biashara ifanyike unakuta Mwanamke ameshatumia pesa zake Saluni au anamngoja Bwana wake ampe kwanza!

    ReplyDelete
  5. We mtoa maoni wa kwanza,

    Mwanamke si huyo yupo mwakilishi wao mmoja?

    Wengine wapo Saluni wanasuka nywele zao!!!

    ReplyDelete
  6. samson l buyambaFebruary 23, 2013

    Ni mwanzo mzuri kwa mkoa wetu mpya wa Simiyu.Simiyu mpya,mambo mapya.Hongereni kwa kuthubutu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...