Familiya ya Alhaji Hassan Kippingu ya  Kiluvia Dar Es Salaam, wanatoa shukurani zao za dhati kwa Ndugu , Jamaa na Marafiki wa marehemu Farida Hassan Kipingu, kwa kushiriki kwa Hali na mali wakati wa kipindi kigumu cha kumuuguza mpendwa mtoto wao, mpaka umauti ulipo mkuta na kushiriki pamoja katika
Mashishi yake. 

Nivigumu kumtaja mtu mmoja mmoja, ila shukurani za pekee ziwaendee wauguzi wa Hospt. Ya Agakhan pamoja na marafiki zake wote.

Tunapenda kuwataarifu kutakuwa na Arubaini itakayo fanyika tarehe 10/03/13 saa 03:00 Asubuhi nyumbani kwao Kiluvya wote mna karibishwa

INNA  LILLAH WAINNA  ILAYHI RAAJIUN

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Rest in Peace dada Farida

    ReplyDelete
  2. ALLAh akupumzishe salama Farida, you will be missed, ucheshi wako mh! Hakika sisi wote ni wa ALLAh na kwake ndio marejeo yetu ... poleni sana familia...nimeguna kwa kuona kuwa kifo kipo karibu sana na hakichagui tujitayarishe kwa kufanya A'mali njema ...

    ReplyDelete
  3. R.I.P dada Farida Kipingu! Polen sana wana familia. Wana Kilakala girls tutakukumbuka sana kwa ucheshi wako. Bwana Alitoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe!

    ReplyDelete
  4. Rehema JettaMarch 01, 2013

    Inna Lillah Waina Ilayhi Rajoon

    Poleni wana familia, pole sana Mama yangu, mama Kipingu. Mwenyezi Mungu akipenda tutakuwa wote tarehe 10/03/2013, InshaAllah.

    ReplyDelete
  5. Salama LimoMarch 01, 2013

    Tutamkumbuka Farida,Mungu amweke mahali pema,poleni familia yote

    ReplyDelete
  6. RIP. Sikumfahamu lakini nilipoangalia nikadhania namwona Cleopatra malkia. Mungu amrehemu, Amina.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...