Familiya ya Alhaji Hassan Kippingu ya Kiluvia Dar Es Salaam, wanatoa shukurani zao za dhati kwa Ndugu , Jamaa na Marafiki wa marehemu Farida Hassan Kipingu, kwa kushiriki kwa Hali na mali wakati wa kipindi kigumu cha kumuuguza mpendwa mtoto wao, mpaka umauti ulipo mkuta na kushiriki pamoja katika
Mashishi yake.
Nivigumu kumtaja mtu mmoja mmoja, ila shukurani za pekee ziwaendee wauguzi wa Hospt. Ya Agakhan pamoja na marafiki zake wote.
Tunapenda kuwataarifu kutakuwa na Arubaini itakayo fanyika tarehe 10/03/13 saa 03:00 Asubuhi nyumbani kwao Kiluvya wote mna karibishwa
INNA LILLAH WAINNA ILAYHI RAAJIUN
Rest in Peace dada Farida
ReplyDeleteALLAh akupumzishe salama Farida, you will be missed, ucheshi wako mh! Hakika sisi wote ni wa ALLAh na kwake ndio marejeo yetu ... poleni sana familia...nimeguna kwa kuona kuwa kifo kipo karibu sana na hakichagui tujitayarishe kwa kufanya A'mali njema ...
ReplyDeleteR.I.P dada Farida Kipingu! Polen sana wana familia. Wana Kilakala girls tutakukumbuka sana kwa ucheshi wako. Bwana Alitoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe!
ReplyDeleteInna Lillah Waina Ilayhi Rajoon
ReplyDeletePoleni wana familia, pole sana Mama yangu, mama Kipingu. Mwenyezi Mungu akipenda tutakuwa wote tarehe 10/03/2013, InshaAllah.
Tutamkumbuka Farida,Mungu amweke mahali pema,poleni familia yote
ReplyDeleteRIP. Sikumfahamu lakini nilipoangalia nikadhania namwona Cleopatra malkia. Mungu amrehemu, Amina.
ReplyDelete