Mheshimiwa
Jaji Mkuu Mstaafu Barnabas Samatta anasikitika kutangaza kifo cha mtoto wake
mpendwa Peter Cuthbert Samatta (pichani) kilichotokea tarehe 11/02/2013 katika Hospital ya Taifa ya Muhimbili.
Mazishi yatafanyika leo tarehe
14/02/2013 saa 10 Alhasiri katika
Makaburi ya Kinondoni
jijini Dar es salaam.
PETER, SISI TULIKUPENDA, ILA YEYE ANAKUPENDA ZAIDI
MOLA AIWEKE ROHO YAKO MAHALI PEMA PEPONI
AMINA
Duuh huyu si ndo alikuaga golikipa wa shule yetu mzumbe boys miaka ya 90s alikua maarufu kwa jina La Peter shilton, poleni sana wafiwa
ReplyDeletePeter you have gone too soon. My deepest sympathy to and to the whole Family.
ReplyDeleteOhhhh noooo namkumbuka sana Peter Samata IFM. Jamani Rest in Peace
ReplyDeleteCousin Peter, you were such a wonderful person,you will always remain in our hearts always. May our Lord rest your soul in eternal peace, Amen.
ReplyDeleteU will always be in our hearts brother
ReplyDeleteThat super special laugh of urs will be super missed..
ReplyDeleteNi ngumu kuamini haupo. Tulikupenda lakini Mungu amekupenda zaidi. You will always be in our hearts. Always
ReplyDeletePeter,umetuacha mapema mno..
ReplyDeleteWe were with you on Monday morning of 11th feb. talking and laughing as usual. The news of your sudden death after we left really shocked us. You will be missed a lot in different ways including your exceptional laugh. May God rest your soul in eternal peace, Amen.
ReplyDeletePeter,u will always be here with us,in every decision we make,in every event we participate.we love you Bro.
ReplyDeleteA friend indeed..
ReplyDeleteGone too soon
U will be dearly missed
RIP Peter
ReplyDeleteGone too soon....