Mheshimiwa Jaji Mkuu Mstaafu Barnabas Samatta anasikitika kutangaza kifo cha mtoto wake mpendwa Peter Cuthbert Samatta (pichani) kilichotokea tarehe 11/02/2013 katika Hospital ya Taifa ya Muhimbili. 

Mazishi yatafanyika leo  tarehe 
14/02/2013 saa 10 Alhasiri katika Makaburi ya Kinondoni
jijini Dar es salaam.

PETER, SISI TULIKUPENDA, ILA YEYE ANAKUPENDA ZAIDI
MOLA AIWEKE ROHO YAKO MAHALI PEMA PEPONI
AMINA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Duuh huyu si ndo alikuaga golikipa wa shule yetu mzumbe boys miaka ya 90s alikua maarufu kwa jina La Peter shilton, poleni sana wafiwa

    ReplyDelete
  2. Peter you have gone too soon. My deepest sympathy to and to the whole Family.

    ReplyDelete
  3. Ohhhh noooo namkumbuka sana Peter Samata IFM. Jamani Rest in Peace

    ReplyDelete
  4. Cousin Peter, you were such a wonderful person,you will always remain in our hearts always. May our Lord rest your soul in eternal peace, Amen.

    ReplyDelete
  5. U will always be in our hearts brother

    ReplyDelete
  6. That super special laugh of urs will be super missed..

    ReplyDelete
  7. Ni ngumu kuamini haupo. Tulikupenda lakini Mungu amekupenda zaidi. You will always be in our hearts. Always

    ReplyDelete
  8. Peter,umetuacha mapema mno..

    ReplyDelete
  9. We were with you on Monday morning of 11th feb. talking and laughing as usual. The news of your sudden death after we left really shocked us. You will be missed a lot in different ways including your exceptional laugh. May God rest your soul in eternal peace, Amen.

    ReplyDelete
  10. Peter,u will always be here with us,in every decision we make,in every event we participate.we love you Bro.

    ReplyDelete
  11. A friend indeed..
    Gone too soon
    U will be dearly missed

    ReplyDelete
  12. RIP Peter
    Gone too soon....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...