Watani wa jadi hawa walio maeneo ya Kibamba, barabara ya Morogoro road, walikamatwa na kamera ya Globu ya Jamii mwaka jana mwezi kama huu. Leo bado wapo bega kwa bega katika kuonesha ukomavu wa kisiasa. Hata hivyo bendereza zao zinaonekana kuchoka na bila shaka wahusika wataliangalia hilo kwa herufi kubwa....
Home
Unlabelled
watani wa jadi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Hapo Makada wa Vyama vyote pesa walipewa kubadilisha Bendera wamesha zitwanga wanangoja Kipindi kingine cha Uchaguzi!
ReplyDeleteSi bendera hizo hadi mpaka 2015 zitafikia kuwa kama vyandarua?