Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Tutasahau karibuni na kubweteka kama kawaida yetu

    ReplyDelete
  2. hata wakinyongwa uhai wa padri haurudi.

    ni vyema viongozi wa dini waache ushabiki na wakae kujenga jamii.

    kila penye maafa kuna kosa limesbabisha.

    ReplyDelete
  3. MUHIMU HAPO KINACHOTAKIWA NI VIONGOZI WA SERIKALI NA VYAMA VYA SIASA KUKUBALI KWAMBA,KUNA MIJI,NA MAENEO NDANI YA NCHI YETU YANA UTARATIBU WAKE NA SERIKALI TOKEA WAKATI INAPEWA MADARAKA KUTOKA KWA WAKOLONI WANAYAJUA HAYO ILA MNAPOTAKA KUYAGEUZA KWA NGUVU ZA SERIKALI MILA ZA WATU HAYO NDIO MATOKEO YANAVYOKUWA HIZO MILA POPOTE PALE DUNIANI KILA NCHI NA KILA MJI VITU HIVYO VIPO NA WATU WANAVIHESHIMU,SAWA NA WEWE NA FAMILIA YAKO NDANI YA NYUMBA YAKO AKUJIE MTU BAKI KUTOKA N'NJE YA NYUMBA YAKO AKUPANGIE WEWE JINSI YA KUISHI NA FAMILIA YAKO BILA KUKUSHAULI NI KWA NGUVU ZAKE NI KITU AMBACHO HAKIPO KABISA NA HAKIWEZEKANI.mdau bwegenaz

    ReplyDelete
  4. HAO WAUWAJI NA MAPADRE NI GENGE LA BIASHARA YA UNGA TU. NATUONE BAADAE

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...