Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (kulia) akimsikiliza Mkurugenzi
wa Idara ya Huduma ya TEHAMA Bw.Priscus Kiwango akiwasilisha mada ya
Mfumo Shirikishi wa Taarifa za Kiutumishi na Mishahara
(HCMIS) alipofanya ziara ya kikazi ya Ofisi ya Rais,Menejimenti ya
Utumishi wa Umma jana.
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (kulia) akipokea nyaraka
mbalimbali za kiutumishi kutoka kwa Kaimu Katibu Mkuu ,Ofisi ya
Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw.HAB Mkwizu alipofanya ziara ya
kikazi Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (kulia) akimsikiliza Mkurugenzi
wa Idara ya Ushauri na Uchambuzi Kazi Bw.Micky Kiliba alipokuwa
akiongelea masuala mbalimbali ya kiutumishi wakati wa ziara yake Ofisi
ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma jana
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (kulia) akiongea na watumishi
wa Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma alipofanya ziara ya
kikazi Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma jana
Watumishi wa Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma wakimsikiliza
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue alipofanya ziara ya kikazi
Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma jana
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...