Naomba msaada huyu kijana amepotea 
JINA LAKE: ABDILLAHI SAID AHMED 
ni mgonjwa wa akili na nimgeni wa nchi hii
kwa mawasiliano zaidi: 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Kama una haja ya msaada wa kweli hakikisha kuwa unatoa maelezo ya kutosha. Sasa hapa haijulikani kabisa kama huyu mtu amepotea lini, wapi, anaongea lugha gani na wala haijulikani mara ya mwisho alivaa nguo gani, sasa huoni kama umetoa mtihani juu ya mtihani.

    ReplyDelete
  2. mgeni wa nchi hii, je ametokea nhci gani? inakuwa rahisi kusadia ukijua nchi aliyotokea

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...