Naomba msaada huyu kijana amepotea
JINA LAKE: ABDILLAHI SAID AHMED
ni mgonjwa wa akili na nimgeni wa nchi hii
kwa mawasiliano zaidi:
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kama una haja ya msaada wa kweli hakikisha kuwa unatoa maelezo ya kutosha. Sasa hapa haijulikani kabisa kama huyu mtu amepotea lini, wapi, anaongea lugha gani na wala haijulikani mara ya mwisho alivaa nguo gani, sasa huoni kama umetoa mtihani juu ya mtihani.
ReplyDeletemgeni wa nchi hii, je ametokea nhci gani? inakuwa rahisi kusadia ukijua nchi aliyotokea
ReplyDelete