Kwa video hii ya mapishi pamoja na nyingine kibao zinazoandaliwa na Chef Issa kila siku BOFYA HAPA
Home
Unlabelled
JIFUNZE KUTENGENEZA NYAMA SAFI LAINI YA KUKAANGA NA MCHANGANYIKO WA MBOGA MAJANI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Big up chef safi sana hii
ReplyDeleteDUH NIMEIPENDA KINOMA RAHISI TU
ReplyDelete
ReplyDeleteMchanganyiko huu unaonekana bomba sana, na video imeeleweka chef je kuna video nyingine au ndio nguvu ya soda?
MAAKULI BWANA AKA RAMBA RAMBA... HONGERA KIJANA UNATUSAIDIA SANA KINA MAMA MI NILISHAIONA VIDEO HII LONG TIME NA NIMESHAPIKA MSOSI HUU MWAAAAAAAAAAAAAAA
ReplyDelete
ReplyDeleteWallah hapa unatufaa sana sisi tulio na moderm za internet safiiiiiii za vodatunaangalia video zako na tunapika bila shaka kwa uraisi kabisa na familia zetu zinaenjoy ubarikiwe mwaya mhhh
Chef kama una mke mi najitolea kuwa mke wa pili bwana raha kupikiwa hahahahaaaaaa
ReplyDelete
ReplyDeleteChef kiwango cha video bado kipo chini sana, tafuta wataalamu wa kutengeneza video kwa kiwango wakusaidie, pia sehemu unayofundishia ni ndogo sana hilo ni jiko la nyumbani. Nakufatilia siku nyingi sana we ni chef mkubwa mwenye uzoefu komaa upate centre nzuri kubwa ya kisasa fanya video za maana kama kina chef Goldon ramsay jamii itafurahi sana nawe utakua umetimiza ndoto yako
Hii mbona rahisi tu, usitutishe bwana weka nyingine hahahaaaaa
ReplyDeleteKUDADADEKI NYAMA NA MAMBOGA MBOGA UWIIIIIII HII INABAMBA WAJAMENI, SASA KAZI KWA WIFE NATAKA WEEKEND NIJIMWAGE
ReplyDelete
ReplyDeleteIfanye iwe ya kitaalamu zaidi na pia ifanye iwe ya kisasa zaidi kwasasa mwanzo mzuri. Hatuna Tv show nzuri za vyakula Tanzania wengi wanabahatisha nawe jaribu bahati yako kila lakheri
NY CITY
IDEA IS ABSOLUTELY FANTASTIC NA UNATUMIA KISWAHILI FASAHA UZALENDO MBELE.
ReplyDeleteSASA KINA MAMA WENZANGU TUFAIDIKE NA MASOMO HAYA.
NAONA HURUMA NYUMBANI TANZANIA SIO KILA MMOJA MWENYE UWEZO WA KUA NA LAPTOP AU INTERNET WENGI WANATENGENA ZA KAZINI HII PIA NI SHIDA.
MWENYEZI MUNGU AKUJAALIE UWEZE KUA NA TV PROGRAM ILI ELIMU HII IMFIKIE KILA MLENGWA KWA URAHISI.
MUNGU AKUBARIKI.
MAMA USA
Naona chumvi nyingi, yaleta blood pressure hii, kasha hayo masiagi kwa wingi is not good for your health. Kula kupendeza roho lakini si nzuri kwa afya.
ReplyDeletethats very impressive, nice video, simple process of cooking, i like cooking and ive no doubt i will learn so much
ReplyDeleteBig up kaka.