Kwa video hii ya mapishi pamoja na nyingine kibao zinazoandaliwa na Chef Issa kila siku BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Big up chef safi sana hii

    ReplyDelete
  2. DUH NIMEIPENDA KINOMA RAHISI TU

    ReplyDelete

  3. Mchanganyiko huu unaonekana bomba sana, na video imeeleweka chef je kuna video nyingine au ndio nguvu ya soda?

    ReplyDelete
  4. MAAKULI BWANA AKA RAMBA RAMBA... HONGERA KIJANA UNATUSAIDIA SANA KINA MAMA MI NILISHAIONA VIDEO HII LONG TIME NA NIMESHAPIKA MSOSI HUU MWAAAAAAAAAAAAAAA

    ReplyDelete

  5. Wallah hapa unatufaa sana sisi tulio na moderm za internet safiiiiiii za vodatunaangalia video zako na tunapika bila shaka kwa uraisi kabisa na familia zetu zinaenjoy ubarikiwe mwaya mhhh

    ReplyDelete
  6. Chef kama una mke mi najitolea kuwa mke wa pili bwana raha kupikiwa hahahahaaaaaa

    ReplyDelete

  7. Chef kiwango cha video bado kipo chini sana, tafuta wataalamu wa kutengeneza video kwa kiwango wakusaidie, pia sehemu unayofundishia ni ndogo sana hilo ni jiko la nyumbani. Nakufatilia siku nyingi sana we ni chef mkubwa mwenye uzoefu komaa upate centre nzuri kubwa ya kisasa fanya video za maana kama kina chef Goldon ramsay jamii itafurahi sana nawe utakua umetimiza ndoto yako

    ReplyDelete
  8. Hii mbona rahisi tu, usitutishe bwana weka nyingine hahahaaaaa

    ReplyDelete
  9. KUDADADEKI NYAMA NA MAMBOGA MBOGA UWIIIIIII HII INABAMBA WAJAMENI, SASA KAZI KWA WIFE NATAKA WEEKEND NIJIMWAGE

    ReplyDelete

  10. Ifanye iwe ya kitaalamu zaidi na pia ifanye iwe ya kisasa zaidi kwasasa mwanzo mzuri. Hatuna Tv show nzuri za vyakula Tanzania wengi wanabahatisha nawe jaribu bahati yako kila lakheri

    NY CITY

    ReplyDelete
  11. IDEA IS ABSOLUTELY FANTASTIC NA UNATUMIA KISWAHILI FASAHA UZALENDO MBELE.

    SASA KINA MAMA WENZANGU TUFAIDIKE NA MASOMO HAYA.

    NAONA HURUMA NYUMBANI TANZANIA SIO KILA MMOJA MWENYE UWEZO WA KUA NA LAPTOP AU INTERNET WENGI WANATENGENA ZA KAZINI HII PIA NI SHIDA.

    MWENYEZI MUNGU AKUJAALIE UWEZE KUA NA TV PROGRAM ILI ELIMU HII IMFIKIE KILA MLENGWA KWA URAHISI.

    MUNGU AKUBARIKI.

    MAMA USA

    ReplyDelete
  12. Naona chumvi nyingi, yaleta blood pressure hii, kasha hayo masiagi kwa wingi is not good for your health. Kula kupendeza roho lakini si nzuri kwa afya.

    ReplyDelete
  13. thats very impressive, nice video, simple process of cooking, i like cooking and ive no doubt i will learn so much
    Big up kaka.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...