Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika sherehe za uzinduzi wa jengo la Kitivo cha Sayansi katika Chuo Kikuu cha Kiislamu mjini Morogoro leo
 Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kiislamu Morogoro Mama Mwantumu Malale akiongea machache na kumkaribisha Rais Kikwete
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua jengo la Kitivo cha Sayansi katika Chuo Kikuu cha Kiislamu mjini Morogoro leo
 Rais Jakaya Kikwete akipata maelezo ya ujenzi wa jengo la kitivo cha TEKNOHAMA katika Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Morogoro.

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Mdau wa MaguMarch 14, 2013

    MIchuzi kile kinaitwa chuo kikuu cha waislamu (MUslim university) sio chuo kikuu cha kiislamu (islamic university). i.e hakijajibana kwa kozi ya waislamu. kipo wazi kwa kozi mbalimbali ila ni mali ya waislamu. (Muslims).

    ReplyDelete
  2. KILA LA KHERI KWA MANUFAA USTAWI WA JAMII YA KITANZANIA NA DUNIA KWA UJUMLA

    ReplyDelete
  3. Umasho (Visiwani) na Maustaadh na Msheikh wa Maandamano Misikitini (Bara) mmeona Taasisi hiyo?

    Ni muda muafaka sasa Waislamu tuendeshe mambo Kiusomi zaidi, kutumia Chuo Kikuu kuliko kwa njia ya jazba!

    Kazi kwenu, kilichobaki tunataka hayo madai muyaweke kwenye Maandishi na kufanya Utafiti /Research kwenye Chuo Kikuu Chetu 'MUSLIM UNIVERSITY' na sio kuwasilisha Madai kwa njia ya uvunjaji amani na Uhalifu!

    Inshallah imekuwa kheir kubwa sana!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...