Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika sherehe za uzinduzi wa jengo la Kitivo cha Sayansi katika Chuo Kikuu cha Kiislamu mjini Morogoro leo
![]() |
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kiislamu Morogoro Mama Mwantumu Malale akiongea machache na kumkaribisha Rais Kikwete |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua jengo la Kitivo cha Sayansi katika Chuo Kikuu cha Kiislamu mjini Morogoro leo
Rais Jakaya Kikwete akipata maelezo ya ujenzi wa jengo la kitivo cha TEKNOHAMA katika Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Morogoro.
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
MIchuzi kile kinaitwa chuo kikuu cha waislamu (MUslim university) sio chuo kikuu cha kiislamu (islamic university). i.e hakijajibana kwa kozi ya waislamu. kipo wazi kwa kozi mbalimbali ila ni mali ya waislamu. (Muslims).
ReplyDeleteKILA LA KHERI KWA MANUFAA USTAWI WA JAMII YA KITANZANIA NA DUNIA KWA UJUMLA
ReplyDeleteUmasho (Visiwani) na Maustaadh na Msheikh wa Maandamano Misikitini (Bara) mmeona Taasisi hiyo?
ReplyDeleteNi muda muafaka sasa Waislamu tuendeshe mambo Kiusomi zaidi, kutumia Chuo Kikuu kuliko kwa njia ya jazba!
Kazi kwenu, kilichobaki tunataka hayo madai muyaweke kwenye Maandishi na kufanya Utafiti /Research kwenye Chuo Kikuu Chetu 'MUSLIM UNIVERSITY' na sio kuwasilisha Madai kwa njia ya uvunjaji amani na Uhalifu!
Inshallah imekuwa kheir kubwa sana!