Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera ( kushoto) akimsililiza Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uchumi, Viwanda na Biashara , Mahmoud Mgimwa ( kati kati),ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kaskazini, ( CCM), bara baada ya kusomewa taarifa na Mkuu huyo wa Mkoa katika ukimbi uliopo kwenye jengo la Ofisi hiyo.
Baadhi ya Wabunge ambao ni Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge Uchumi,Viawanda na Biashara walipokuwa katika ziara yao ya kutembelea viwanda mbalimbali Mkoani Morogoro.
wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uchumi, Viwanda na Biashara wakiwa kwenye Kiwanda cha Nguo cha 21 th Century cha Morogoro.
Meneja Uendeshaji wa Kiwanda cha Nguo cha 21 th Century cha Morogoro , Clement Munisi, ( aliyenyoosha mkono) akitoa maelezo mbele ya baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uchumi, Viwanda na Biashara , ikiongozwa na Mwenyekiti wake ,Mahmoud Mgimwa ( kati kati) ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kaskazini, ( CCM), na ( kulia ) ni Mbunge wa Viti Maalumu CCM wa Mkoa wa Geita, Vicky Kamata na ( kushoto) ni mwezake wa viti maalumu kutoka Mkoa wa Tanga , Amina Mwidau, walipokitembelea kiwanda hicho juzi mjini.Picha na John Nditi wa Globu ya Jamii,Morogoro.
ni 21st Century (inatamkwa Twenty first Century) na sio " 21th Century (Twenty oneth century !!!) "
ReplyDeletekamati ya kudumu...neno kudumu huwa silielwagi hapo...ebu nielewesheni kiswahili nacho...
ReplyDeleteKaka Michuzi naamini wajumbe wa kamati ya bunge inayohusiana na mazingira wanatakiwa kukichukulia hatua kali sana kiwanda hiki na wasipoliongelea hatutawaelewa misitu yetu inaisha inamalizwa na hawa wanaojiita wawekezaji inasikitisha sana naomba wahusika walifanyie kazi
ReplyDeleteHivyo viatu si vya kuingia navyo kwenye shughuli za vjijini!
ReplyDeleteITS GOOD WAMETEMBELEA HIVYO VIWANDA.
ReplyDeleteI AM SURE KUTAKAA KIMYA NA MITI INATENDELEA KUKATWA MORO.
THE LAST TIME SPENT TIME WALIDAI WANAKATA HIYO MITI KWA AJILI YA MADAWATI.
I WONDER HAWA WATU WA MALI YA ASILI WAPO WAPO.
WANACHUKIJUA WAO NI KUKATAKA WATU KUTAKA MITI MAJUMBANI KWAO TU.