Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera ( kushoto) akimsililiza Mwenyekiti wa Kamati  ya  Kudumu ya Bunge ya Uchumi, Viwanda na Biashara , Mahmoud Mgimwa ( kati kati),ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kaskazini, ( CCM), bara baada ya kusomewa taarifa na Mkuu huyo wa Mkoa katika ukimbi uliopo kwenye jengo la Ofisi hiyo.
 Baadhi ya Wabunge ambao ni Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge Uchumi,Viawanda na Biashara walipokuwa katika ziara yao ya kutembelea viwanda mbalimbali Mkoani Morogoro.
 wajumbe wa  Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uchumi, Viwanda na Biashara wakiwa kwenye Kiwanda cha Nguo cha 21 th Century cha Morogoro.
 Meneja Uendeshaji wa Kiwanda cha Nguo cha 21 th Century cha Morogoro , Clement Munisi, ( aliyenyoosha mkono) akitoa maelezo mbele ya baadhi ya wajumbe wa  Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uchumi, Viwanda na Biashara , ikiongozwa na Mwenyekiti wake ,Mahmoud Mgimwa ( kati kati) ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kaskazini, ( CCM), na ( kulia ) ni Mbunge wa Viti Maalumu CCM wa Mkoa wa Geita, Vicky Kamata  na ( kushoto) ni mwezake wa viti maalumu kutoka Mkoa wa Tanga , Amina Mwidau, walipokitembelea kiwanda hicho juzi mjini.Picha na John Nditi wa Globu ya Jamii,Morogoro.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. ni 21st Century (inatamkwa Twenty first Century) na sio " 21th Century (Twenty oneth century !!!) "

    ReplyDelete
  2. kamati ya kudumu...neno kudumu huwa silielwagi hapo...ebu nielewesheni kiswahili nacho...

    ReplyDelete
  3. Kaka Michuzi naamini wajumbe wa kamati ya bunge inayohusiana na mazingira wanatakiwa kukichukulia hatua kali sana kiwanda hiki na wasipoliongelea hatutawaelewa misitu yetu inaisha inamalizwa na hawa wanaojiita wawekezaji inasikitisha sana naomba wahusika walifanyie kazi

    ReplyDelete
  4. Hivyo viatu si vya kuingia navyo kwenye shughuli za vjijini!

    ReplyDelete
  5. ITS GOOD WAMETEMBELEA HIVYO VIWANDA.

    I AM SURE KUTAKAA KIMYA NA MITI INATENDELEA KUKATWA MORO.

    THE LAST TIME SPENT TIME WALIDAI WANAKATA HIYO MITI KWA AJILI YA MADAWATI.

    I WONDER HAWA WATU WA MALI YA ASILI WAPO WAPO.

    WANACHUKIJUA WAO NI KUKATAKA WATU KUTAKA MITI MAJUMBANI KWAO TU.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...