Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akiwa katika mazungumzo na Mjumbe wa Tume ya Uongozi wa Taifa wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Liu Yunshan, kwenye Ofisi za chama hicho mjini Beijing China. Kushoto ni Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa,Dkt. Asha-Rose Migiro.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. I like this guy,
    Kwa kweli Katibu wa CCM ni presidential material. Hongera kiongozi, China ndiye mkombozi wa Africa.

    ReplyDelete
  2. Eeeeh! Siyo sisi Waafrika wenyewe mkombozi wa Africa? Hii ni Hatari kubwa! Have you thought about what is there for the Chinese in Africa?
    We need attitude and mindset change.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...