Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (wa pili kushoto) akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa miradi ya Maji, William Kazenga, kuhusu upanuzi wa mtambo wa Ruvu chini wa kusambaza maji, wakati Makamu alipofika eneo hilo jana Machi 14, 2013 kwa ajili ya kukagua kazi zinazoendelea za upanuzi wa Mtambo huo wa Ruvu chini.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa miradi ya Maji, William Kazenga, kuhusu upanuzi wa mtambo wa Ruvu chini wa kusambaza maji, wakati Makamu alipofika eneo hilo jana Machi 14, 2013 kwa ajili ya kukagua kazi zinazoendelea za upanuzi wa Mtambo huo wa Ruvu chini. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Ahmed Kipozi (wa pili kushoto) ni Waziri wa Maji na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. naona health and safety ni nusu bin nusu. kuna waliovaa safety helmet pamoja na high vis jackets, kuna waliovaa safety helmet pekee na kuna ambao hawajavaa chochote!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...