Gazebo la Safari Lager likiwa limewahifanyi wateja wa Nyama choma waliokuwa wamefika kwenye Viwanja vya Leaders Club jijini Dar kwenye bonanza la Safari Lager Nyama Choma.
 Wadau wakicheza Pool wakati wakisubiri nyama ziive ili wakweze kujipatia kitu roho inapenda.
 Mzigo uko jikoni.
 Wengine walikuwa wakicheza Mchezo wa Vishale wakati wakisubiri mambo ya Nyama Choma yawe tayari tayari.
 Jamaa akigeuza nyama jikoni.
 Lango Kuu la Kuingilia Leaders Club leo lilikuwa likonekana namna hii.
 Foleni ya kusubiri nyama katika banda ya Fyatanga ambao waliibuka washindi wa pili katika shindano la wachomaji bora wa Nyama hapa jijini Dar,wakati Bar ya Titanic kutoka Vingunguti wakiibuka washindi wa kwanza.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Jamani wa Majuu mnatutia hamu sana,

    Ohhh narudi nyumbani eeee!

    Mimi ningeingia hapo Leaders Club na Kisu changu mkononi!

    Nyama asilia kabisa sio hizi za kwenye cold rooms zimechinjwa mwaka juzi!

    ReplyDelete
  2. Kajijimbwa kanyewe kalikuwa kadogo!!

    ReplyDelete
  3. Red meat ni hatari kwa afya yako!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...