Home
Unlabelled
nani tena huyu??
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
NANI MWINGINE HUYO NI ZI CHU MI
ReplyDeleteHuyu siyo ANKAl?
ReplyDeleteMichuzi huyo anatoka Zenji kapata nyumba ndogo ya mtoto wa kizenji. Hapo alipo ananukia asumini na marashi ya karafuu aliyotiliwa kwenye maji ya kuoga.
ReplyDeleteANKAL MWENYEWE MZIGONI
ReplyDeleteDuuu!!!!!
ReplyDeleteUnasema''umekutana na jamaa"kwa maana umemuona kwa karibu sana. Unashindwa kumuuliza unakuja na swali lisilo na maana kwasababu kama ungekuwa na shida ya kumfahamu ungemuuliza kwavile''umekutana naye". Sasa hii siyo msaada tutanI tena Bali ni msaada utani
ReplyDeleteankali kumbe maji huyawezi wewe mtoto wa cost au mtoto wa bara?
ReplyDeletekumbe maji kwako ni sawa na nanga ukianguka unazama tu
jifundishe kuogelea ni jambo zuri sana kujuwa kuogelea
hii nchi niliyokuwa mimi kila mwananchi anayo nafasi ya kufundishwa kuogelea bila gharama yoyote.
kwani lazima umjue?
ReplyDeletemdau.
mshika lake.nantumbo,lindi.
MR ISSA MICHUZI
ReplyDelete
ReplyDeleteWAJINA HAHHAAA NIMEIPENDA SANA HAPO JUU JAMAA AMEANDIKA KINYUME ZI CHU MI aka MICHUZI
CHEF ISSA
ankal una visa sana!!!:)
ReplyDeleteUS Blogger
bichwa kama mtangazaji wa Clouds kipindi cha Jahazi, Mzee wa salama Aleukhum, Kibs
ReplyDeleteHuyu siye mwingine bali Mzee wa ze fulanaz!!
ReplyDelete