Msaada tutani wadau. Nimekutana na huyu jamaa akipiga boksi ndani ya boti hadi nashuka alikua busy tu na mzigo. Anayeweza kumtambua msaada. - Na mdau Gerson Msigwa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. NANI MWINGINE HUYO NI ZI CHU MI

    ReplyDelete
  2. Huyu siyo ANKAl?

    ReplyDelete
  3. Michuzi huyo anatoka Zenji kapata nyumba ndogo ya mtoto wa kizenji. Hapo alipo ananukia asumini na marashi ya karafuu aliyotiliwa kwenye maji ya kuoga.

    ReplyDelete
  4. ANKAL MWENYEWE MZIGONI

    ReplyDelete
  5. Duuu!!!!!

    ReplyDelete
  6. Unasema''umekutana na jamaa"kwa maana umemuona kwa karibu sana. Unashindwa kumuuliza unakuja na swali lisilo na maana kwasababu kama ungekuwa na shida ya kumfahamu ungemuuliza kwavile''umekutana naye". Sasa hii siyo msaada tutanI tena Bali ni msaada utani

    ReplyDelete
  7. ankali kumbe maji huyawezi wewe mtoto wa cost au mtoto wa bara?

    kumbe maji kwako ni sawa na nanga ukianguka unazama tu

    jifundishe kuogelea ni jambo zuri sana kujuwa kuogelea

    hii nchi niliyokuwa mimi kila mwananchi anayo nafasi ya kufundishwa kuogelea bila gharama yoyote.

    ReplyDelete
  8. kwani lazima umjue?
    mdau.
    mshika lake.nantumbo,lindi.

    ReplyDelete
  9. MR ISSA MICHUZI

    ReplyDelete

  10. WAJINA HAHHAAA NIMEIPENDA SANA HAPO JUU JAMAA AMEANDIKA KINYUME ZI CHU MI aka MICHUZI

    CHEF ISSA

    ReplyDelete
  11. ankal una visa sana!!!:)

    US Blogger

    ReplyDelete
  12. bichwa kama mtangazaji wa Clouds kipindi cha Jahazi, Mzee wa salama Aleukhum, Kibs

    ReplyDelete
  13. Huyu siye mwingine bali Mzee wa ze fulanaz!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...