Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt, Pamela Kikuli (kulia) akipokea kinywaji chake cha Ndovu wakati wa awamu ya pili ya Burudani ndani ya Crystal Bar iliyowakutanisha pamoja marafiki na wadau mbalimbali wa Bia hiyo katika Ukimbi wa Masai Camp jijini Arusha mwishoni mwa wiki.
Ndovu Special Malt imewakutanisha pamoja Mameneja wa Chapa mbalimbali za Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kutoka kushoto Meneja wa Kinywaji cha Redd’s, Victoria Kimaro, Meneja wa Safari Lager, Oscar Shelukindo pamoja na Meneja wa Ndovu Special Malt, Pamela Kikuli wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa awamu ya pili ya Burudani ndani ya Crystal Bar iliyowakutanisha pamoja marafiki na wadau mbalimbali wa Bia hiyo katika Ukimbi wa Masai Camp jijini Arusha mwishoni mwa wiki.
Wadau wakilisakata rumba ndani ya Ndopvu Special Malt Crystal Bar iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika ukumbi wa Masai Camp jijini Arusha. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hako kabinti kampingo kenye kijani hapo juu, mbona nimekamaindi sana, contact mi-stew please.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...