Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu, Dar es salaam, leo Machi 1, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Balozi wa Umoja wa Nchi za Kifalme za Kiarabu (UAE) aliyemaliza muda wake
wa kufanya kazi nchini Mhe. Mallalla Mubarak Al Ameir alipoagana naye Ikulu, Dar es salaam, leo Machi 1. 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Balozi wa Umoja wa Nchi za Kifalme za Kiarabu (UAE) aliyemaliza muda wake
wa kufanya kazi nchini Mhe. Mallalla Mubarak Al Ameir alipoagana naye Ikulu, Dar es salaam, leo Machi 1. 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Balozi wa Umoja wa Nchi za Kifalme za Kiarabu (UAE) aliyemaliza muda wake
wa kufanya kazi nchini Mhe. Mallalla Mubarak Al Ameir alipoagana naye Ikulu, Dar es salaam, leo Machi 1. 2013.PICHA NA IKULU.
Mwarabu mweusi wa United Arabu Emirate (UAE)si ndugu zetu hawa? unawezakuta binamu hao!
ReplyDeleteKwa maoni yako inadhihirisha hawa watu wa UAE hawana ubaguzi!
ReplyDeleteWaarabu weusi wapo acheni ujinga watanzania, kwani Jamshid alitepinduliwa zanzibar alikuwa mweusi kuliko Kikwete. Si basi tu.
ReplyDelete