Naibu Katibu Mkuu Ikulu Mama Suzana Mlawi na Mkurugenzi wa Huduma Ikulu Bw. Julius Mogore, leo Machi 1, 2013 wameongoza shughuli za usafi kuzunguka maeneo ya Ikulu jijini Dar es salaam katika kuadhimisha Siku ya Mazingira Afrika. Siku hiyo itaadhimishwa kitaifa siku ya Jumapili.
 Wafanyakazi wa kila kada bila kujali wadhifa wanafanya kazi bega kwa bega kuhitimisha Siku ya Mazingira Afrika kwa kufanya usafi
 Kazi ikiendelea kwa tabasamu
 Kila mtu alitoka ofisini na kushika ufyagio 
Kazi nzuri...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hivi City Council inafanya kazi gani? Maana haya mambo ya wafanyakazi kujitolea kufanya usafi inaonyesha dhairi kuwa serikali haitoi ajira za wafanya usafi au labda city council imeshindwa kazi!

    ReplyDelete
  2. mngekuwa mnafanya hivyo kwa wiki mara moja,ingependeza zaidi waheshimiwa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...