Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa akiwa hutubia Wananchi wa Wilaya ya Kinondoni Wakati Sherehe za Kuadhimisha Siku ya Mazingira Barani Afrika Sherehe hizo zmefanyika kenye Viwanja vya Tanganyika Packere huko Kawa Jijini Dar es Salaam.
Mawaziri wa Nchi Katika Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Samia Suluhu Hassan na Wamazingira Dk Terezya Huvisa,Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Chalrs Kitwanga na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Sar es Salaam Said Meek Sadiki wakifanya Usafi Kandokando Mwabarabara ya kawe Wakati wa Kuadhimisha Siku ya Mazingira Barani Afrika Sherehe hizo zimefanyika kwenye Viwanja vya Tanganyika Packers Jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meek Sadiki akifanya Ufasi Wajiji katika Barabara ya Kawe kwenye Viwanja vya Tanganyika Packers, Wakati wa Kuadhimisha Siku ya Mazingira Barani Afrika Kulia Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Dk Julias Ningu.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Ofisi ya Makamu wa Rais Wakifanya Usafi Kuadhimisha siku ya Mazingira Barani Afrika kwenye Viwanja vya Tanganyika Packers kawe Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam.[Picha na Ali Meja]

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hivi vitu ni endelevu kweli? au mchanga wa macho tuu!! Siasa bwana kweli mchezo mchafu. Hivi kodi tunazotoa zinafanya kazi gani?

    ReplyDelete
  2. Hivi usafi wa mji unafanyika siku ya usafi wa Mazingara au unapaswa kua kila siku inabidi tujenge utamaduni wa usafi kuakikisha kuna mapipa ya uchafu barabarani ili watu waache tabia ya kutupa uchafu kwenye mitaro.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...