Simu yako ni ya Kichina iwapo.......
1. Battery inajaa baada ya dk 3 ....
2. Simu ina Tv,microwave,torch,kikata kucha,mswaki,kiberiti cha sigara
3. Unaweza kuandika Msg kwa tooth pick
4.Kuna matatizo ya kimaandishi yanayoitambulisha kwa mfano Nokla, Blackderry,Samvang n.k.
5.Ndege ikipita ,simu inaandika 1 missed
call
6.Ukiwa karibu na lorry likawashwa kitu kinaandika "Charger Connected"
7.Nilazima iwe na Simu card Mbili na bettry mbili
8.Kukiwa hakuna umeme inaandika "insert sim card"
9.Ukipost status facebook ina post 10 nyingine bila wewe kujua
10. Ukipita karibu na mchina huku bluetooth ikiwa on ,simu inaonesha "new hardware found, please enter pairing code!"

Ahhhhhaaaaahahahaha
ReplyDeleteHizo ni dalili kamili za Mchina mwenyewe, wala sio fotokopi!
La muhimu tuombe rufaa kwa Mchina angalau waongeze Guarrantee ya bidhaa zao,
Maana kwa sasa kuipata Simu Original ni adimu kama jasho la kuku!,,,(mara zote hata ukienda maduka ya uhakika ukijipindua unauziwa mbuzi kwenye gunia unakuta simu inatokea Thailand au Singapore),,,hakuna Bosi hakuna mlala hoi wote Mkombozi wetu Mchina!
Na ukiwa unaicharge uwezi kuigusa kwasababu unaweza kunaswa!
ReplyDeleteDu hii kali ya mwaka 2013
ReplyDeleteHongera!!!
ReplyDeletehii kali ndugu
ReplyDeleteila umesahau ile nyingine mtu akiku beep utaona moshi unafuka mfukoni hahahahha
Kucheka ni afya!
ReplyDeleteYou made my day!
ReplyDeleteKipengere namba10 ni chiboko hahahahhhahhahahahahah ahahahahaha
ReplyDeleteNa simu zenu mnazotengeneza zikoje? Afadhali Wachina na hizo zao!!!!!!!!!!
ReplyDeleteUmesahau Icon moja /Facility katika hizo 10 ulizotaja za simu ya Kichina!!!
ReplyDeleteNashangaa hawa jamaa wa Guiness Record ni kwa nini hawakuitaja simu ya Kichina kwa uwezo wa ajabu iliyo tengenezwa nao ni Simu ya Kichina kuweza KUJAMBA KIDIGITALI !!!
yaani hii nimeikubali,kwa mwaka huu kaka michuzi hii ni the best
ReplyDeletekeep it up
Hahah hahah hah vibration inatoa sauti ka nyuki
ReplyDeleteoh my day! You are nuts, haven't laugh for donkeys mate,
ReplyDeleteYou crafty cow
Nilikuwa na mastress yangu yaani nimecheka mpaka yote yameisha, hii kiboko hasa huyo aliesema ukiicharge usiiguse maana unaweza kunaswa..
ReplyDelete