Simu yako ni ya Kichina iwapo.......

1. Battery inajaa baada ya dk 3 ....
2. Simu ina Tv,microwave,torch,kikata kucha,mswaki,kiberiti cha sigara
3. Unaweza kuandika Msg kwa tooth pick 

4.Kuna matatizo ya kimaandishi yanayoitambulisha kwa mfano Nokla, Blackderry,Samvang n.k.
5.Ndege ikipita ,simu inaandika 1 missed
call 

6.Ukiwa karibu na lorry likawashwa kitu kinaandika "Charger Connected"
7.Nilazima iwe na Simu card Mbili na bettry mbili

8.Kukiwa hakuna umeme inaandika "insert sim card"
9.Ukipost status facebook ina post 10 nyingine bila wewe kujua

10. Ukipita karibu na mchina huku bluetooth ikiwa on ,simu inaonesha "new hardware found, please enter pairing code!"

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. Ahhhhhaaaaahahahaha

    Hizo ni dalili kamili za Mchina mwenyewe, wala sio fotokopi!

    La muhimu tuombe rufaa kwa Mchina angalau waongeze Guarrantee ya bidhaa zao,

    Maana kwa sasa kuipata Simu Original ni adimu kama jasho la kuku!,,,(mara zote hata ukienda maduka ya uhakika ukijipindua unauziwa mbuzi kwenye gunia unakuta simu inatokea Thailand au Singapore),,,hakuna Bosi hakuna mlala hoi wote Mkombozi wetu Mchina!

    ReplyDelete
  2. Na ukiwa unaicharge uwezi kuigusa kwasababu unaweza kunaswa!

    ReplyDelete
  3. Du hii kali ya mwaka 2013

    ReplyDelete
  4. Hongera!!!

    ReplyDelete
  5. Mdau LubidaMarch 21, 2013

    hii kali ndugu

    ila umesahau ile nyingine mtu akiku beep utaona moshi unafuka mfukoni hahahahha


    ReplyDelete
  6. Kucheka ni afya!

    ReplyDelete
  7. You made my day!

    ReplyDelete
  8. Kipengere namba10 ni chiboko hahahahhhahhahahahahah ahahahahaha

    ReplyDelete
  9. Na simu zenu mnazotengeneza zikoje? Afadhali Wachina na hizo zao!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  10. Umesahau Icon moja /Facility katika hizo 10 ulizotaja za simu ya Kichina!!!


    Nashangaa hawa jamaa wa Guiness Record ni kwa nini hawakuitaja simu ya Kichina kwa uwezo wa ajabu iliyo tengenezwa nao ni Simu ya Kichina kuweza KUJAMBA KIDIGITALI !!!

    ReplyDelete
  11. yaani hii nimeikubali,kwa mwaka huu kaka michuzi hii ni the best
    keep it up

    ReplyDelete
  12. Hahah hahah hah vibration inatoa sauti ka nyuki

    ReplyDelete
  13. oh my day! You are nuts, haven't laugh for donkeys mate,
    You crafty cow

    ReplyDelete
  14. Nilikuwa na mastress yangu yaani nimecheka mpaka yote yameisha, hii kiboko hasa huyo aliesema ukiicharge usiiguse maana unaweza kunaswa..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...