FAMILIA YA MAREHEMU MZEE DAVID ELIYA MGWASSA INASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MPENDWA MAMA YAO, MAMA SUZAN MGWASSA, KILICHOTOKEA TAREHE 13/03/2013 KATIKA HOSPITALI YA AGAKHAN DAR ES SALAAM.
MSIBA UPO NYUMBANI KWAKE MAREHEMU KIJITONYAMA NYUMA YA KAMPUNI MPYA YA VING'AMUZI YA DIGITEK, AMA USONI PA KIJITONYAMA MAGHOROFANI.
SISI TULIMPENDA, BWANA ALIMPENDA ZAIDI NA KUMTWAA. MOLA AIWEKE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI.
- AMINA
Mungu ampumzishe bibi kwa amani. Ni Bibi aliyejaa upendo mwingi sana. Tumekula chakula nyumbani kwake mara nyingi pamoja na zawadi nyingi alitupatia bila kusahau trey za mayai, kuku, n.k.
ReplyDeleteBwana ametoa na Bwana ametwaa, jina lake libalikiwe!!
jamani mungu mlaze mahali pema peponi mama yetu mpendwa.mdau hapo juu umesema kweli.mama yetu alikuwa mpendwa,nakumbuka sana nikimuona akiwapa wageni wake hayo matray ya mayai pindi ukitaka kuondoka.namuomba mungu akamlaze pema katika nyumba yake ya milele.Amen
ReplyDeleteMay heart also goes out to her family and childrens.mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu