FAMILIA YA MAREHEMU MZEE DAVID ELIYA MGWASSA INASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MPENDWA MAMA YAO, MAMA SUZAN MGWASSA, KILICHOTOKEA TAREHE 13/03/2013 KATIKA HOSPITALI YA AGAKHAN DAR ES SALAAM.

MSIBA UPO NYUMBANI KWAKE MAREHEMU KIJITONYAMA NYUMA YA KAMPUNI MPYA YA VING'AMUZI YA DIGITEK, AMA USONI PA KIJITONYAMA MAGHOROFANI.

SISI TULIMPENDA, BWANA ALIMPENDA ZAIDI NA KUMTWAA. MOLA AIWEKE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI. 

- AMINA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mungu ampumzishe bibi kwa amani. Ni Bibi aliyejaa upendo mwingi sana. Tumekula chakula nyumbani kwake mara nyingi pamoja na zawadi nyingi alitupatia bila kusahau trey za mayai, kuku, n.k.
    Bwana ametoa na Bwana ametwaa, jina lake libalikiwe!!

    ReplyDelete
  2. jamani mungu mlaze mahali pema peponi mama yetu mpendwa.mdau hapo juu umesema kweli.mama yetu alikuwa mpendwa,nakumbuka sana nikimuona akiwapa wageni wake hayo matray ya mayai pindi ukitaka kuondoka.namuomba mungu akamlaze pema katika nyumba yake ya milele.Amen
    May heart also goes out to her family and childrens.mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...