Kamanda wa Polisi Mkoani Mbeya Kamishna Msaidizi wa Polisi Diwani Athuman
Akizungumza na waandishi wa habari
MBEYA Matukio 2
- Watoto walioibwa 2, Me 1,Ke 1
- Watuhumiwa Me 1,Ke 1
[Wamepatikana]
MOMBA - Tukio 1
- Watoto walioibwa Ke 1
- Watuhumiwa -Nil
Amepatikana
KYELA - Tukio 1
- Watoto walioibwa Ke 1
Amepatikana
JANUARI – DESEMBA 2012 WIZI WA WATOTO
MBEYA Matukio 4
- Watoto walioibwa Me 3, Ke 1
- Wamepatikana wote wazima
- Watuhumiwa Me 3, Ke 1
RUNGWE - Kesi 2
- Watoto walioibwa 2, Me 1,Ke 1
- Wamepatikana
- Watuhumiwa Me 1,Ke 1
MBARALI - Kesi 1
- Mtoto 1
-1 Amepatikana


Mbeya wanahitaji kuombewa kwa kuwa wanasumbuliwa sana na Imani za Uchawi!
ReplyDeleteHasa ktk kufikia Malengo haya matatu:
1.Kutafuta Utajiri,
2.Madaraka,
3.Umaarufu,
Satan, You're A Liar !
ReplyDeletelinaoonekakusmbuanimoja tu nalo ni UTAJIRI,mengine hayo mawili si kweli.
ReplyDeleteNilifikiri ni hao wanaopelewa uarabu kumbe hili nalo ni lingine! Shetani awaachie watoto amani na uhuru wao. Hana nafasi Mjinga kabisa! Watanzania tukemee!
ReplyDeleteNa hili la Albino je? Mbona kila tukikaribia uchaguzi ndo maalbino wanakiona? Je, viongozi wa zamani walitumia nini kupata nafasi kabla ya hili?
ReplyDelete