Kamanda wa Polisi Mkoani Mbeya Kamishna Msaidizi wa Polisi Diwani Athuman 
Akizungumza na waandishi wa habari


MBEYA   Matukio 2
-       Watoto walioibwa 2, Me 1,Ke 1
-       Watuhumiwa      Me 1,Ke 1
[Wamepatikana]
MOMBA            -     Tukio 1
-       Watoto walioibwa       Ke 1
-       Watuhumiwa  -Nil
Amepatikana
KYELA     -     Tukio 1
- Watoto walioibwa Ke 1
Amepatikana
 JANUARI – DESEMBA 2012 WIZI WA WATOTO

MBEYA Matukio 4
 
-       Watoto walioibwa  Me 3, Ke 1
-       Wamepatikana wote wazima
-       Watuhumiwa      Me 3, Ke 1 
 
RUNGWE   -     Kesi 2
-       Watoto walioibwa 2, Me 1,Ke 1
-       Wamepatikana
-       Watuhumiwa      Me 1,Ke 1
MBARALI             -     Kesi 1
-       Mtoto 1
-1  Amepatikana
 
Uchunguzi wa mashauri hayo bado unaendelea ili kubaini chanzo cha matukio hayo, yeyote mwenye taarifa kuhusiana na matukio haya azitoe kwenye vyombo vya ulinzi na usalama

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Mbeya wanahitaji kuombewa kwa kuwa wanasumbuliwa sana na Imani za Uchawi!

    Hasa ktk kufikia Malengo haya matatu:

    1.Kutafuta Utajiri,
    2.Madaraka,
    3.Umaarufu,

    ReplyDelete
  2. Satan, You're A Liar !

    ReplyDelete
  3. linaoonekakusmbuanimoja tu nalo ni UTAJIRI,mengine hayo mawili si kweli.

    ReplyDelete
  4. Nilifikiri ni hao wanaopelewa uarabu kumbe hili nalo ni lingine! Shetani awaachie watoto amani na uhuru wao. Hana nafasi Mjinga kabisa! Watanzania tukemee!

    ReplyDelete
  5. Na hili la Albino je? Mbona kila tukikaribia uchaguzi ndo maalbino wanakiona? Je, viongozi wa zamani walitumia nini kupata nafasi kabla ya hili?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...