Home
Unlabelled
utalii halisi wa ndani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
South Africa nao wana magari ya namna hii ingawa ya kwao ni makubwa zaidi.
ReplyDeleteIgnorant
Utalii wa kwenye zoo kweli, lakini kule mbugani ambako hujui simba yuko wapi inabidi lifanyiwe improvement kidogo.
ReplyDeleteTutaunda tume ifanye uchunguzi wa kina na kuona usalama wa watalii utakuwaje,tume itafanya ziara ya mafunzo ili tuagize magari maalum toka kiwandani kwa kuzingatia mapendekezo ya tume.
ReplyDeleteHapa simba ndio wanatalii binadamu walikua kwenye ZOO(caged)
ReplyDeletehayo ni mazingira ya ZOO. Kwenye mbuga halisi ya wanyama inaweza kuwa hatari na watalii wataogopeshwa badala ya kuvutiwa. Njia inayokubalika kupeleka watalii kwa ukaribu zaidi na wanyamama kwenye mazingira halizi ni kutmia baloon inayopaa angani. Kama tahadhani tu ni kwamba mambo mengi ya wanyama kama simba na chui mnayoona Ulaya Marekani msichukulia kwa uhalisi sababu hao wanyama wengi walitolewa Afrika wakiwa wadogo na kukuzwa kama ajili ya maonesho kwa hiyo hawana uhalisi kama wale wa mbugani (eg wale mnaowaona kwenye circus shows).
ReplyDeleteOh God the one with a cap on... Gosh, I wish I could get my paws on him!!!! Ningemlaje????
ReplyDeletehalafu wanyama wenyewe wanakuja chukua kwenye nchi zetu na wanatushinda maarifa
ReplyDeleteYaani najisikia kama kitoweo. Mdau, CA, USA
ReplyDeleteHuko ni kutamani kukutana na mola wako mapema.mimi hunipandishi gari ng'o!
ReplyDeleteHuu ni kama ukatili wa wanyama.
ReplyDeleteHii ni kama vile mtu akuletea pilau ndani ya chupa na huna uwezo wa kafungua hiyo chupa.
They should get out and shake hand with their hosts.
Ibrahim
Hii ni salama zaidi, maana kule Fresno, California Marekani Mhudumu wa Zoo alishambuliwa na simba tarehe 7 Machi ,2013.
ReplyDeletehii imekaa poa bro!hebu tanzania na sisi tuzinduke basi!vipi,tumerogwa?tuwe wabunifu na options na packages mbalimbali!utalii upo wa mambo mengi sana sana,lakini,hatuzitumii rasilimali tulizo nazo!hiyo picha nimeipenda,just imagine,wavu huo upasuke ghafla,itakuwaje hapo?nini kitatokea kwa ndugu zangu hao waliopo ndani ya cage?kuna mtu atakumbuka Camera yake au Wallet iko wapi au Girlfriend wake yuko wapi?au itakuwa mshikemshike,kila mtu akiinusuru roho yake?suppose you had a girlfriend with you in that cage,and suddenly,a mighty Lion breaks loose part of that cage,and manages to enter into it,tell me,what will you do under the circumstances?will you embrace your girlfriend in order to protect her life?or will you run for your life and girlfiend "baadaye?",such thrills is what makes that tour even more wanting!
ReplyDeletePamoja na wavu huo wa kukinga hatari, Mnyama ni mnyama licha ya kuwa Klabuni kwetu Msimbazi bado mambo si shwari ni kuwa simba halowani hata akinyeshewa na mvua.
ReplyDeleteWana Yanga na Michuzi wenu inabidi muwe jasiri mkiwa ndani ya magari ya wavu kwa kuwa mnakabiliana na mnyama Simba ana kwa ana,,,kama hapo kwenye picha mnavyoona!
Kama hapo ndani mpo Wana Yanga nadhani wapo watakao jikojolea kwa woga vile simba kudandia juu hapo.
Mnyama mchezo?
!?????!!!We mdau hapo juu unaetuhabarisha kuwa South Africa nao wana magari ya namna hii,hoja haikuwa nani na nani wana magari ya namna hii,alichoshauri mtoa hoja kwa njia ya picha ni kuwa kuna haja na sisi kuwa na magari ya aina hii bila kujali ni ya ukubwa kiasi gani.Wadau tusipende kukurupuka na kuanza kubofya bila ya kutafakari kwanza na kuelewa mada/hoja
ReplyDelete
ReplyDeleteHahahahaa duh hii noma huu ni utalii au kutiana presha tu kazi kweli kweli
ReplyDeleteHII KALI BWANA SAFI TU EMBU NA MAKAMPUNI YA UTALII TZ WAJARIBU, ILA INATAKA MOYO
Bongo hapa cku wavu ukiwekwa sub standard itakuwa ahueni kwa wanyama. free meal served on skewers
ReplyDelete
ReplyDeleteHuu utalii au kurushana roho duh!!
STATES
ReplyDeleteNIMEIPENDA HII, ILA INATAKA MOYO SANA TU
ReplyDeleteHahahahaaaa duh hii kweli au uzushi? cheki watu wote wamejikusanya sehemu moja sasa simba akizunguka huko walikojikusanya si kazi tena ukiangalia juu yupo inamaa watu watachuchumaaa tehe tehe hii kiboko mi naona kama hatari sana na watu hawana amani huko maana simba mate yanawadondoka na wanakwarua hizo nyavu.
MDAU BELGIUM
Mvua je na jua je? acha tubaki na Ma-long base/chasis yetu Landrovers!
ReplyDeletewewe unafikiri simba wa Africa ni sawa na Simba wa ulaya? sisi Simba Wetu Wanafanana na akili zetu, akiona gari kama hilo na nyie mpo ndani lazima achane nyavu achomoke na mtu. kamwe msifikirie kuleta magari kama hayo!
ReplyDeleteGood but hatari
ReplyDeletemachithela.blogspot.com
Gari zetu si mnazijua, ikiharibika kama hapo itakuwaje?
ReplyDeletenafikiri sio mbaya lakini kwa tanzania wangejaribu magari makubwa kama kuanzia tani 7
ReplyDeletekwa upande mwingine naona kama ni hatari zaidi kwa usalama wa hao binadamu
imekuwa kama vile hao binadamu ndio wanyama wamefungiwa
na hao wanyama ndio binadamu wapo free wanaangalia binadamu waliofungiwa
sasa hapo ni wanyama wanatalii kwa kuangalia binadamu
kwa upande mwengine ni hatari kwa sababu hilo gari likitokea lolote labda kuwaka moto au kupinduka ina maana watakuwa wamejijengea kaburi maana kuokoa maisha yao itakuwa kazi kubwa maana wamejifungia.
Uwiiiiiii! me ntakufa kwa kihoro kabla hata ya kutalii nusu saa
ReplyDeleteGari zetu spana mkononi, je likiharibika itakuwaje?
ReplyDeletehapa naona wanyama wanatalii na binadamu wamefungiwa wasije wadhuru wanyama
ReplyDeleteBrain
Aisee, Mimi nadhani hapo ningeshatokwa na samadi muda mrefu.
ReplyDeleteMwanamalundi wa JF
Hii inaongeza kivutio zaidi. Nasisi tucopy na kupaste.
ReplyDeleteMdau asante kwa kutuongezea maarifa
Ni idea murua! Ila hawa simba ni wa ki-bagradeshi (Soft lion). Simba wa bongo ni balaha.Wanataka magari makubwa kama ya south africa
ReplyDeletekWANI LAZIMA MAGARI YA UTALII YAFANANE NA Hungary!Hapo ndipo roho zetu kwatu kwakuwa tumefanana na ulaya.
ReplyDeleteHamajona magari ya utalii TZ.Kaoneni kwanza ndipo mutoe maoni.Si kila siku MKUBWA KAMA TEMBO!.
Yanga S.C endeleeni kuhemea matumboni kwa woga mbakie humo humo ndani na msitoke, mashabiki hamuamini kama mpo salama humo ndani mnatetemeka ndani ya Tundu la ndege.
ReplyDeleteMkitoka tu, mmeraruliwa na mmeliwa na Mnyama Simba S.C!
Na hapo hapo msimamo wa Ligi unabadilika na Simba inakuwa kileleni !!!
Wanatamani kweli minofu ya ndani ya gari!
ReplyDeleteHilo la juu sijui linataka kuwakojolea?
ReplyDeleteNamuunga mkono anonymus wa 09:58:00am 2013. Lakini kabla ya kuunda tume, kwanza kamati ya bunge itafanya ziara maalum ya kutembelea maenro husika na ikishajiridhisha ndipo iundwe tume
ReplyDeletekuona usalama wa watalii utakuwaje,nayo tume itafanya ziara ya mafunzo na kisha itapendekeza uundwaji wa kikosi kazi kitakachotoa mapendekezo ya namna ya uagizaji wa magari hayo maalum toka kiwandani kwa kuzingatia hali halisi ya wakti tulionao.
Kila kitu Kamati ,kila Kitu kamati!
ReplyDeleteAma kweli Bongo tambarale, itatokea mtu amepoteza simu yake ya mkononi si pia ataomba iundwe Kamati?
Huyo simba hapo juu akiamua kujisaidia itakuwaje??
ReplyDelete